BIG BOSS | episode 1 | Posted on October 18, 2025 by money Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …
Ila muuza duka ๐ฅ๐ฅ๐
Nice
Oyoooo big boss ndani ya mjengo nendeni na Dunia yenu๐๐๐๐
Unyamaa
Clam vevo gonga kazi mwamba wangu tuko pamoja ๐๐๐๐๐
Assante big boss
Pamoja sana๐๐
vevo wallah huyo mtu ametia hako ka hairstyle amekufanyia vizuri sana kbxa
Clam umetisha sana umejua kutufunza ss vijana ๐๐ kaz nzur
Yani mambo ni moto
Hakuna alieachana na dunia ila hizi ni husda tu watu waonekane wabaya sote sisi ni ndugu
saf san ndug yang kaz mzur
Kanumba alianza ivoivo ww endelea tu mzee litakukuta jambo
Wote nawapenda Kwa kumsaport clam vevo
Kijana VEVO tulikuwa tunasubiri hii kwa hamu kubwa ๐๐๐
Clam vevo hajawahi kuwa na kazi mbovu mungu amuongoze inshallah
โคโค๐
Naitwa siongei nipo kilwa kivinje kaka VEVO jitaidi uipite mkoba wa mama
Sharti la kua shoga ndio rahis clam ??
๐ ๐ ๐ ๐
Finally bro ๐