BIG BOSS | episode 10 |

BIG BOSS | episode 10 |


Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

20 Comments

  1. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

  2. Mimi ninachoshangaa pasua kichwa zinatoka episode nyingi ndani ya wiki lakini big boss episode zake unasubiri sana kwanini wakati big boss ni nzuri sana zaidi ya pasua kichwa sio siri mnaboa,mimi nilikuwa naomba mrekebishe hili big boss zake naomba zitoke nyingi ndani ya wiki ili sisi viewers tuburudike siobsiri mkiendelea hivi nitaacha kufuatilia big boss na nitaacha kukufuatilia clam vevo

  3. Tatizo Kim unaongea kinyakusa ukidhania Kilaimoja anaongea lugha yako….behave yourself

  4. Clam sasa huyo steven mweusi ninani mbona sisi huku Burundi hatuelewi ๐Ÿคจ๐Ÿ—ฃ๏ธ

  5. Duuuh! Haya maisha bora nibaki sinaga pesa kwakweli ntapambana mpk mungu atakapo bless.

  6. Kaniki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Comments are closed