BIG BOSS I episode 11 I

BIG BOSS I episode 11 I


Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

20 Comments

  1. Mmefeli apo watoto kalibia wote kupandisha mashetani wafe kwanini asinge pandisha mmoja na akafa au mkasubili watapo kuwa wanatoka shule mwanafunzi mmoja wao ndo apate tatizo afe kafala iwe imetimia

  2. Kkkkkkkkkk😂 kaniki kawa tajiri munaleta haja kwenye movie kabisa movie iwe hadi 100episod kabisa

  3. Yani big boss ni ya moto kuliko dunia ‘ila watu wadunia wameendekeza mapenzi kuliko uhalisia ‘sasa kula chuma hiki 😂😂😂

  4. Hahahahahah ahahahhahha apo mwisho clam umepigaje .kwa mchungaji kakuna kichwa 😂 LaZm atajaa tuuu

  5. Ila mnatuchelewa sana kutoa Ep maana sawa na chakuka unasubiri mpaka ladha inaisha mdomoni

  6. Daaah uyo bro ametaka nimuonee huruma mumewang yan mtoto anamtoa kmaa nyongeza babaake 😂

Comments are closed