Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
Mnajuwa sna🎉🎉🎉
Jaman nipeni like namm wakenya
Wanacheka nje lakini chozi la damu wanapanda ngazi lakini ni za mwiba wangapi muliimix hii nyimbo laiki hapa
Yes
Jaman naomben jibu la swali langu hivi ni kweli wanaume wooooooteeee Wana wanawake nje kweli???
Mnaopenda watu walike comment zenu unapata nn jmn tuambiane
Tunaa ngalia tukiwa kitandani gonga laik
Tutaona panapovunja tayari aliyeenda kwa sangoma
Tony anatoa had nyongeza😢😅
Kimada ndio kipo lakini kimada chake ni koboko😂😂😂la binti msumi utawezaaaaa2:57
Masikini ukimpa chakula akashiba anatafuta changamoto mpya
Vevo wood tupo?
Mbn kama mke wa matula kawa mweupe sana jaman au ndo utajili😊
“Mthwalo wam’ uyangisinda” Me
Mama vevo amejua kuvaaa uhusika wake bravo
Next level
Movie mbovu hii muvi mliimalza wenyew mapema, ko ulaya ndo mashart yameisha akienda 😀😀😀😀😀 Kwa sababu vevo ndo mwenye movie starring, mgempa basi yeye awe mkuu ovyo
Siku zote tamaa sio mzuli punguzeni tamaa ndugu
Jaman mbn munatuchikia watu wa Zambia ata like 😢😢😢
UNCLE JIJI KANUMBA