Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
🎉🎉
Daaah nipo naangalia huku naskiliza nyimbo ya harmonize mapenzi usiyazoee oyaaa weeee imenoga sio powww
Wueeeeeee sasa next episode mpaka October 😂😂😂😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mbona imeshelea sana !
Mchungaji anakukera ukiwa wapi ?
Tom sijamuona kabisaaa
9:50 😂😂😂😂 washamshenyeta
Yani mnachekewesha sana sana mpaka tunasahau tulipoishia jaman iwe fasta kama mama kasema
Kaka umebugi mtoto ninaye natamba naye.
Ongera sana kaniki 🎉🎉🎉 I’m from Mozambique 🇲🇿
26:45 Huyu nae tutashindwana sasa
Sikitu unatak kifo wewe tena kinakuita kabisaaa
Matula fukuza huy mwanamke maan hakutendei haki kabisaaa maan kakudangany vyakutosha mfukuz akaendelee kuish na huy chokar mwenzake pia matul anajuwa kila kit anakuchora tub
Wakuu nishawai kuwa na mke kama huyu mke wa mchungaji😂😂😂😂😂😂
Tajil ph0n phone 📱 imefka😂😂
Duh chii anachokifany jaman hata hakipendez kabisaa anamkosea sana mume wake hata kama anamapungufu kias hicho maan dah ati anamleta mwanaum nyumban kwa mum wake halafu anajifany ni kaka yake kumb malay mwenzak
Namuonea huruma sana SIKITU
Inachelewa saana ❤❤🎉
Haya kaniki na nyoka wake sasa nyoka anatak tendo ati anaon wivu kanik akilala na mke wake jaman haya maisha mazuri siyo kuyataman kwa watu wengine kama hujajuwa kayapataje