Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
kaka naomba konekisheni yenu y uigizaji nina kipaji cha kuigiza
Me wapili laiki jaman tanzania one
Kisa nimeachwaa ninwesumu asubutuuuuu ameniachaa fresh
Bdo pasua kichwa
๐ข๐ข๐ข๐ข๐ขinahajagani utajirii wakutoa familia kafaraa kisa utajirii๐ข๐ขbora umasikini jaman
17:33
Tunao angalia huku tunakula daku like hapa
DUNIA SEASON2 IMEBUMA๐ ๐ ๐
MNISAMEHE SIYO KWA UBAYA๐ ๐ ๐
Kuna watu wanazaa watoto mie nimezaa kokoto ๐๐๐ kujipa sifa mapema kabla ya cheo ๐๐๐๐ dada umenikosha ??
21:58๐๐ข๐ข
21.25 mshikaji ๐๐
Habari ndio ioyo
Ramazaan kaliim na qwalesma njemaaaa
Namkubali sana huyo jamaa hana kaz mbovu
Watu ambawo tumeachana na Dunia Ep 2 tujuane Jamani ๐๐๐
Tupe finally Epsod maan imeanz kuwa mbah mnafoc kuongez vipandeee
Hii familia ๐๐๐
hii nyumba nayo niya moto
Wanamaneno hii nyumba ๐๐๐
Kaka toni ana wema uo