BIG BOSS | episode 2 |

BIG BOSS | episode 2 |


Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …

20 Comments

  1. Afadhal huku hakuna tich zungu wala pm bet wala dala,,hamtak kutoa like au nije nichukue kwa nguvu😅😅😂

  2. Ivi like zinauziwa wapi mana naona watu wanaziomba kama mtaji nipeni like na kwakuzipelekaa😂😂

  3. Clam tunaitaji vita ya kichawi na Freemason kweye seasons yetu ya big boss. Kwasababu tunaitaji kama big boss season 1

  4. Kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kinshasa. goma.kalemie.kisangani. like yangu jamani 😢

  5. huyu mama ametisha sana kwenye ihi movie big clam vevo nipe like zangu nzamani❤❤❤❤

  6. Amenigusa na kuniumiza huyu mama namuona kama mama angu😭😭

  7. Inasikitisha sana unasaidia wa2 wapemben afu mama sio anateseka humsaidia duuh inauma San hii movie inafundisha sana

Comments are closed