BIG BOSS | episode 3 |

BIG BOSS | episode 3 |


Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: ...

20 Comments

  1. @RashidAlly-x1x

    Wanawake wanazau wakipatq mwanaume mwenye ela😂😂

  2. @RajabuSadiki-z8j

    Ambao kojo limetuban ila utam wa move hatujaend kuxhii like ap

  3. @EdwineAlphonce-v5v

    Muvi nzuri sana japo kiasi chake inaogopesha , so far tunajifunz sana🎉🎉

  4. @MdorBaby

    Duu nyimb nzur sijuw kaimba nanan clam nakupnd bur kak uko vzr nakufatilia so poa

  5. @masteruvaofficial

    JADU 👽

  6. @Lawrencetngenzi

    Hii hataa kanumba angekuwepo angekupa salute 🫡

  7. @Barclay-k3p

    Nilijua tuuu kwa kuzingatia utamaduni WA Tanzania lazima patokee la kutokea ila bailamu ananifulahisha linacheka tuuu😂😂😂

  8. @BakariRashidi-i2c

    Jamaa ilie ilie. Voic za nyimbo ktsha sna wangp wnakbl hili

  9. @Eliamini-h1i

    Anae amini mtoto wa mgaya Ni mtoto halisi wa clam ilike apaaa😂😂😂

  10. @RajabuSadiki-z8j

    Nafasi ya kanumba saiv yako Clam vevo

  11. @aminmbalamwezi6371

    Ambao hawataki bimkubwa alale na mwanae gonga like hapa

  12. @MusaAbdullahlututu

    Tangu nianze ku msapoti clam vevo sijawai fikisha ata likes 20

  13. @FikiriAbdallahMyao

    Wakwanz kutok malawi

  14. @azrajabdallah

    oy nani tup n muhun mtoa choz

  15. @KidukuMwakinyo-k2h

    Ayo mashariti magumu cn kulala na mama yako mzazi mmh

  16. @esterpaul6314

    Huyu ndyo clam sasa❤❤❤

  17. @DamdizoAjili

    Kazi nzuri

  18. @BazengaTz-l7b5j

    ❤❤

  19. @Mbambembe-900k

    Tunaitaji vita kati ya wachawi na fremasoni

  20. @EstherAmos-r8f

    Muko Nachelewesha sana kk