BIG BOSS I EP 44 I

BIG BOSS I EP 44 I


Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: ...

20 Comments

  1. @HusnaKombo-q3r

    Fukala hashauliki😂😂😂

  2. @AugustinoBoaz

    Daaah ogopa sana kupenda kaniki yote ayo ni sababu anampenda mkewe daaah

  3. @CornéliovcarvalhoCarvalhokudab

    Mambo oclok achananao mwanagu😂😂😂😂

  4. @NaomiDenise-v3g

    Hamisih is going to kill me 😂😂

  5. @bokajuniortz

    Hamisi amekuwa mpunga

  6. @StratonNgerangera-rq8hi

    Kama Tony anaugusa tia like

  7. @aminamahya657

    Uyu amissi mbona kama wale wale 😢 😢au na yeye ni ndg wa matula

  8. @bokajuniortz

    Hii mimi naondokanayo yani nisii download nikose mlo

  9. @bokajuniortz

    Nani ashindwe ku download labda nyinyi

  10. @janvierkagheni5745

    Mama j hajue kama kiulizo ana musadia mtoto wake na nini siri iko ndani

  11. @JaneZuena

    Maisha ya saii heri uko kwa kina tony

  12. @RahmaKassim-s2y

    Yn kumbe mnakujaga kushooot Mpk uku kwetu jmn dah 🤗🔥🙌❤️❤️❤️

  13. @AbduliHalim-q8v

    Kama unaamini ipo siku utakufa gonga like

  14. @AnthonyAllyDeni

    Tulio angalia usiku wa manane gonga like 😅😅

  15. @Vivian-s7s

    Kaniki nakukubali sana🎉❤❤❤

  16. @AnthonyAllyDeni

    Tuliojilazimisha kuangalia kwa kwakuwa ameifunga tusi download like yako

  17. @molvinceoduor5619

    Kaniki... 🎉🎉❤

  18. @ceshleyshahad1123

    Kaka usiseme hvo mm ntalia😂😂😂😂😂😂

  19. @edwardmwatete855

    Washamvunja 😂

  20. @rashidPungile

    Kiukweli mnatuchosha mashabiki na maboss zenu .mna delay sana kuitoa hii film.yani ata wazungu wenyewe wanawaisha kazi .CLAM NA JOPO LENU MNAZINGUA