Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …

Posted inmoney

Adjust to Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Fb: …
Comments are closed
Kaniki Leo umejua kunichekesha 😂😂😂
Hili ndo pilau Lang la Christmas kalibuni wapendwa 😂
Nikiwa Congo🇨🇩🇨🇩 nawapenda sana
😂😂😂😂😂😂kaniki kauponzaaaa😅
Hii nyimbo tuiombe jaman ninzur et
Safi sana good familia kaniki stopa
Hiii nyimbo inaitwaje
Mchezo unafunzoo sikila unachokiona unakitamani dah tuchungee tamaa mbaya turizike na kilee tulicho nacho
Wp maturaaaa 🤣🤣🤣
Haki ya Mungu Movie hii ina ma Acteurs wazuri wengi saaana asee🎉🎉🎉👏🏾👏🏾👏🏾 Merry Christmas kwa wote🌲🌲🎄🎄🎅🎅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaniki akitajiwa matula anazidisha kulia dah 😂😂😂😂😂😂😂
Kaniki mitano tena😂😂😂 nimejua kucheka
Oyaaa kiulizo aongezweee mshaharaa jamaan🎉🎉
Vevo Hahaha Hahaha
Nipeni bas like moja na mimi nijue kazi ya like 😂
mna chelew alf dakik mna weka chache hii hauja kaa sw 🎉🎉🎉🎉 🐃
My nachka na kanik tu😂😂😂dah hakujua lkn kashjiung asubir utjir😂😂😂🎉🎉🎉
Marry christms oyeeeeh nipeni hata like 10 tuu❤
2naoamin Mchungaji awez kuw kam mwamposa like nyingi hapa