19 Comments

  1. Mama vevo bwana et kamuombe Mungu wako na kamuombe msamaha mchungaji sasa vevo kamkosea nini mchungaji😂😂😂

  2. Mimi kama mzazi, katika maisha usiangalie zaidi hisia. Huyo kiulizo angekuwa anampenda G angeshamuoa mudaaa tuuuuuuuu. Lakn Kwa upande mwingine hakuna mzazi ambayo anapenda kuona Binti yake anaolewa na Mwanaume asiyeeleweka. sema tuuuuu ndo hivyo matula ana pesa za mashetani, ila hakuna mzazi bay anapenda mwanae awe na MTU asiye na nguvu kipesa. Mungu awasaidie wanaume wetu wafanye Kazi za halali wapate pesa zao za halali❤❤❤❤❤❤❤

Comments are closed