Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …

Posted inmoney

Follow Me On Instagram https://www.instagram.com/clamcris_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@clam_cris Facebook: …
Comments are closed
this best movie of the year
Huyu kweli sikitu!
Wapi Likes za wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sikitu nae nafsi ya kifo inamwandamaaa
21:18 😅😅😅ila huyu fala 🎉🎉😂
Duh chii anajisahau kabisa
Tony yeye agaiki kabisa😂😂sadaka zipo karibu
Daaah
Munachelewesha sana
Mbona inachelea sana
Hatimae Matula kabadilishiw uhusika sikuhiz sio shoga ten ni jogoo hapand mtungi ile misemo yake hasemi tena
Uswahilini raha kweli napenda mie❤❤❤
Dah hizi connection zitaisha lini😅
Oya vevo uko vizuri sana yaan unatumia akiri kubwa kuandaa vitu vizuri sio kama wawa memkwa wasanii kibao Lakin awana cha kuelimisha mafala wale
Huyo mkaka anavyowapangia majukum wenzake kam yy ndo mwenye nyumba😂😂😂
Munataka kufa
Aaaashiiiiii…. 🔥🔥🔥😁
Mbona ka wimbo za kazamani wamekatoa
kipande hiki kimenifurahisha sana yaani
Yani iyi tamthilia sehemu ninapopenda zaidi ni familia ya tony na tony mwenyewe